Ufafanuzi wa mvukuto katika Kiswahili

mvukuto

nominoPlural mivukuto

  • 1

    mfuko wa ngozi wa kupulizia moto utumiwao na wahunzi.

    mvuo

Matamshi

mvukuto

/mvukutɔ/