Ufafanuzi wa mvumilivu katika Kiswahili

mvumilivu

nominoPlural wavumilivu

  • 1

    mtu anayestahamili taabu au mambo mazito.

    mstahimilivu

Matamshi

mvumilivu

/mvumilivu/