Ufafanuzi msingi wa mvumo katika Kiswahili

: mvumo1mvumo2

mvumo1

nominoPlural mivumo

  • 1

    mngurumo mkubwa wa sauti k.v. wa kundi la nyuki au upepo mkali.

Matamshi

mvumo

/mvumɔ/

Ufafanuzi msingi wa mvumo katika Kiswahili

: mvumo1mvumo2

mvumo2

nominoPlural mivumo

  • 1

    mti mrefu ambao umbo lake linafanana na mnazi, wenye tumbo katikati ya shina lake, majani yaliyoshikana na kufanya umbo la upepeo, unaozaa matunda makubwa ya rangi ya kahawia yanayoitwa vumo.

Matamshi

mvumo

/mvumɔ/