Ufafanuzi wa mvungunya katika Kiswahili

mvungunya

nominoPlural mivungunya

  • 1

    mti mkubwa wenye majani mapana unaozaa mavungunya.

    mnyegea, mwengea

Matamshi

mvungunya

/mvunguɲa/