Ufafanuzi msingi wa mwamba katika Kiswahili

: mwamba1mwamba2mwamba3

mwamba1

nominoPlural myamba

 • 1

  jiwe kubwa kavu au jabali lililoko majini au nchi kavu.

Matamshi

mwamba

/mwamba/

Ufafanuzi msingi wa mwamba katika Kiswahili

: mwamba1mwamba2mwamba3

mwamba2

nominoPlural myamba

 • 1

  boriti ya katikati inayoshikilia mapaa ya nyumba au nguzo za goli.

Matamshi

mwamba

/mwamba/

Ufafanuzi msingi wa mwamba katika Kiswahili

: mwamba1mwamba2mwamba3

mwamba3

nominoPlural myamba

 • 1

  mtu mwenye nguvu na hutumia mabavu.

  mbabe

 • 2

  mtu anayewamba ngoma.

Matamshi

mwamba

/mwamba/