Ufafanuzi wa mwambata katika Kiswahili

mwambata

nominoPlural wambata

  • 1

    mtaalamu wa fani mahususi afanyaye kazi katika ofisi ya ubalozi.

    ‘Mwambata wa Habari wa Ubalozi wa Uingereza nchini, anatazamiwa kuondoka kurejea kwao’

Matamshi

mwambata

/mwambata/