Ufafanuzi wa mwambo katika Kiswahili

mwambo

nominoPlural myambo

  • 1

    tendo la kuwamba kitu k.v. ngoma.

  • 2

    hali ya kukosa kitu k.v. fedha.

Matamshi

mwambo

/mwambɔ/