Ufafanuzi wa mwanamaji katika Kiswahili

mwanamaji

nominoPlural wanamaji

  • 1

    mtu anayefanya kazi katika chombo cha baharini k.v. meli au jahazi.

    baharia, mwanapwa

Matamshi

mwanamaji

/mwanamaʄi/