Ufafanuzi wa mwanamgambo katika Kiswahili

mwanamgambo

nominoPlural wanamgambo

  • 1

    askari wa akiba aliyepata mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya ulinzi wa taifa lake lakini asiye mwajiriwa wa jeshi.

  • 2

    raia anayejitolea kufanya kazi ya ulinzi; askari mgambo.

Matamshi

mwanamgambo

/mwanamgambɔ/