Ufafanuzi wa mwanatamthilia katika Kiswahili

mwanatamthilia, mwanatamthiliya

nominoPlural wanatamthilia

  • 1

    mtaalamu wa kazi za sanaa za maonyesho, hususan anayejihusisha na uandishi wa michezo ya kuigiza.

Matamshi

mwanatamthilia

/mwanatamθilija/