Ufafanuzi wa mweka katika Kiswahili

mweka

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    toa nuru ghafla k.v. mng’ao wa radi.

    memetuka

Matamshi

mweka

/mwɛka/