Ufafanuzi wa mwekezaji katika Kiswahili

mwekezaji

nominoPlural wekezaji

  • 1

    mtu anayewekeza fedha au mali katika biashara.

Matamshi

mwekezaji

/mwɛkɛzaʄi/