Ufafanuzi wa mwenezi katika Kiswahili

mwenezi

nominoPlural wenezi

  • 1

    mtu mwenye kueneza habari za kitu fulani.

Matamshi

mwenezi

/mwɛnɛzi/