Ufafanuzi wa mwenge katika Kiswahili

mwenge

nominoPlural myenge

  • 1

    kitu mfano wa kikombe chenye mpini mrefu na utambi ambacho, agh. huwashwa na kukimbizwa katika kusherehekea au kutukuza tukio fulani.

  • 2

    mwali wa moto kwenye kijiti.

Matamshi

mwenge

/mwɛngɛ/