Ufafanuzi msingi wa mweuo katika Kiswahili

: mweuo1mweuo2

mweuo1

nominoPlural myeuo, Plural mweuo

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  wakati maji ya baharini yanapojaa sana.

Matamshi

mweuo

/mwɛuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa mweuo katika Kiswahili

: mweuo1mweuo2

mweuo2

nominoPlural myeuo, Plural mweuo

Kidini
 • 1

  Kidini
  sikukuu ya kumtakasa Bikira Maria katika Kanisa Katoliki, ambayo huadhimishwa kila tarehe mbili Februari.

 • 2

  Kidini
  mtakaso wa mwili kwa kutumia maji safi ili kujitakasa na najisi.

Matamshi

mweuo

/mwɛuwɔ/