Ufafanuzi wa mwokaji katika Kiswahili

mwokaji

nominoPlural wokaji

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kuoka k.v. mikate au nyama.

Matamshi

mwokaji

/mwɔkaʄi/