Ufafanuzi wa mwombezi katika Kiswahili

mwombezi, mwombeaji

nomino

  • 1

    mtu anayewaombea wagonjwa kwa sala na imani hadi wakapona.

Matamshi

mwombezi

/mwɔmbɛzi/