Ufafanuzi wa mwonjo katika Kiswahili

mwonjo

nominoPlural myonjo

 • 1

  namna ya kujaribu kitu, hasa chakula, ili kujua ladha yake.

  ladha

 • 2

  tukio la kwanza linalomfika mtu katika maisha yake.

  ‘Msiba ule ulikuwa mwonjo kwake’

 • 3

  jambo la mtihani na msukosuko linalompata mtu.

Matamshi

mwonjo

/mwɔnʄɔ/