Ufafanuzi wa myeyuko katika Kiswahili

myeyuko

nominoPlural miyeyuko

  • 1

    hali ya kitu kigumu kugeuka kuwa majimaji.

  • 2

    uowevu wa kitu kilichoyeyuka.

Matamshi

myeyuko

/mjɛjukɔ/