Ufafanuzi wa myombo katika Kiswahili

myombo

nominoPlural miyombo

  • 1

    mti mwembamba wenye majani madogo unaoota kwenye sehemu za mbuga kame na wenye magome yanayoweza kutengenezwa nguo.

Matamshi

myombo

/mjɔmbɔ/