Ufafanuzi wa mzalia katika Kiswahili

mzalia

nominoPlural wazalia

  • 1

    mtu aliyezaliwa mahali fulani.

    mzaliwa

Matamshi

mzalia

/mzalia/