Ufafanuzi wa mzigo katika Kiswahili

mzigo

nominoPlural mizigo

  • 1

    kitu kizito kilichobebwa.

    twesha, tweka

  • 2

    jambo lenye kutatiza au lililo gumu kukabiliana nalo.

Matamshi

mzigo

/mzigɔ/