Ufafanuzi wa mzio katika Kiswahili

mzio

nominoPlural mizio

  • 1

    tendo la kuacha kula au kufanya kitu kwa kuchelea kudhurika.

    mwiko

  • 2

    hali ya kudhuriwa kutokana na kula au kugusa kitu fulani.

Matamshi

mzio

/mzijɔ/