Ufafanuzi wa mzishi katika Kiswahili

mzishi

nominoPlural wazishi

  • 1

    mtu anayeshughulika na maziko.

  • 2

    rafiki au ndugu mwenye huruma au anayesaidia katika dhiki.

Matamshi

mzishi

/mzi∫i/