Ufafanuzi msingi wa mzungu katika Kiswahili

: mzungu1mzungu2Mzungu3mzungu4

mzungu1

nominoPlural mizungu

 • 1

  kitu au tendo la kushangaza au lisilofahamika.

 • 2

  mafundisho wapewayo wari jandoni au unyagoni.

Matamshi

mzungu

/mzungu/

Ufafanuzi msingi wa mzungu katika Kiswahili

: mzungu1mzungu2Mzungu3mzungu4

mzungu2

nominoPlural mizungu

 • 1

  njia ya kujitoa katika shida.

  mbinu

Matamshi

mzungu

/mzungu/

Ufafanuzi msingi wa mzungu katika Kiswahili

: mzungu1mzungu2Mzungu3mzungu4

Mzungu3

nominoPlural wazungu

 • 1

  mtu wa asili ya Ulaya.

Matamshi

Mzungu

/mzungu/

Ufafanuzi msingi wa mzungu katika Kiswahili

: mzungu1mzungu2Mzungu3mzungu4

mzungu4

nominoPlural mizungu

 • 1

  jina la karata isiyokuwa ng’anda, seti au dume.

  ‘Mzungu wa pili’
  ‘Mzungu wa tatu’
  ‘Mzungu wa nne’

Matamshi

mzungu

/mzungu/