Ufafanuzi wa mzushi katika Kiswahili

mzushi

nominoPlural wazushi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusema mambo yasiyokuwa kweli.

    mwongo, ayari, laghai, mjanja, kanda

Matamshi

mzushi

/mzu∫i/