Ufafanuzi wa nachi katika Kiswahili

nachi

nominoPlural nachi

  • 1

    mchezo wa ngoma inayochezwa kwa kufuatisha midundo ya mahadhi ya Kihindi.

Asili

Khi

Matamshi

nachi

/natʃi/