Ufafanuzi wa nafasi katika Kiswahili

nafasi

nominoPlural nafasi

 • 1

  mahali palipo patupu na ambapo panaweza kuwekwa kitu.

  ‘Bado kuna nafasi kwenye gari’
  ‘Nafasi zote za kazi zimejaa’
  hashuo, faragha, mahali, hatua

 • 2

  ‘Nitakuja kama nikipata nafasi’
  muda

Asili

Kar

Matamshi

nafasi

/nafasi/