Ufafanuzi msingi wa najisi katika Kiswahili

: najisi1najisi2

najisi1

nominoPlural najisi

 • 1

  kitu au uchafu unaotengua tohara.

 • 2

  uchafu unaoweza kumkirihi mtu.

Asili

Kar

Matamshi

najisi

/naʄisi/

Ufafanuzi msingi wa najisi katika Kiswahili

: najisi1najisi2

najisi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  tengua tohara ya mtu au kitu kwa kukichafua.

 • 2

  jamiiana na mtu bila ya hiari yake.

  baka

Asili

Kar

Matamshi

najisi

/naʄisi/