Ufafanuzi wa nanua katika Kiswahili

nanua

kitenzi elekezi

  • 1

    panua kitu ili kupata nafasi ya kutoa au kuingiza kingine.

Matamshi

nanua

/nanuwa/