Ufafanuzi wa nderi katika Kiswahili

nderi

nominoPlural nderi

  • 1

    ndege mkubwa mweusi wa jamii ya tai mwenye mdomo mrefu sana.

Matamshi

nderi

/ndɛri/