Ufafanuzi wa ndiga katika Kiswahili

ndiga

nominoPlural ndiga

  • 1

    mmea wenye mizizi inayofanana na viazi vyeupe, agh. huliwa baada ya kuchemshwa na kumwagwa maji mara mbili au tatu ili kutoa sumu iliyomo.

Matamshi

ndiga

/ndiga/