Ufafanuzi wa ndoa katika Kiswahili

ndoa

nomino

  • 1

    makubaliano rasmi ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke.

    chuo

Matamshi

ndoa

/ndɔwa/