Ufafanuzi wa ndondi katika Kiswahili

ndondi

nominoPlural ndondi

  • 1

    mchezo wa ngumi; mapigano ya ngumi.

  • 2

    konde, sumbwi, ngumi

Matamshi

ndondi

/ndɔndi/