Ufafanuzi wa ndonya katika Kiswahili

ndonya

nomino

  • 1

    alama ya mtai au tundu linalotobolewa baina ya pua na mdomo wa juu au kwenye mdomo wa chini kuonyesha urembo.

    ‘Ametogwa ndonya ya Kimakonde’

Matamshi

ndonya

/ndɔɲa/