Ufafanuzi wa nenepesha katika Kiswahili

nenepesha

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    lisha sana mtu au mnyama ili anenepe; fanya mtu au mnyama anenepe.

Matamshi

nenepesha

/nɛnɛpɛ∫a/