Ufafanuzi wa ng’ang’anaa katika Kiswahili

ng’ang’anaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    kauka na kuwa ngumu au kukunjamana kwa sababu ya uchafu, joto au baridi.

Matamshi

ng’ang’anaa

/ŋaŋana:/