Ufafanuzi wa ngawa katika Kiswahili

ngawa

nomino

  • 1

    mnyama mwenye zabadi afananaye na paka au fungo.

Matamshi

ngawa

/ngawa/