Ufafanuzi wa nguo katika Kiswahili

nguo

nominoPlural nguo

  • 1

    vazi k.v. gauni, suruali au shati litumikalo kusitiri mwili wa binadamu na kumkinga kutokana na jua au baridi.

    libasi, vazi

  • 2

    kitambaa chochote.

Matamshi

nguo

/nguwɔ/