Ufafanuzi wa nguruzi katika Kiswahili

nguruzi, nguzi

nominoPlural nguruzi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    tundu maalumu katika chombo cha baharini linalotumiwa kutolea maji yanayoingia chomboni.

  • 2

    Kibaharia
    bao au tambara la kuzibia tundu hilo.

Matamshi

nguruzi

/nguruzi/