Ufafanuzi wa ngwenje katika Kiswahili

ngwenje

nomino

  • 1

    pesa, agh. za sarafu.

Matamshi

ngwenje

/ngwɛnʄɛ/