Ufafanuzi wa nia katika Kiswahili

nia

nominoPlural nia

  • 1

    dhamira ya kutaka kukamilisha jambo au haja.

    kusudio, gharadhi, lengo, ari, ghaidhi, dhamiri, dhamira, maarubu, madhumuni, matarajio

Asili

Kar

Matamshi

nia

/nija/