Ufafanuzi wa njoo! katika Kiswahili

njoo!

kiingizi

  • 1

    tamko la kumwita mtu aliye mbali asogelee mahali alipo mwenye kuita; sogea hapa!.

Matamshi

njoo!

/nʄɔ:/