Ufafanuzi wa nti katika Kiswahili

nti

nominoPlural nti

  • 1

    vijiti au pete nyembamba zinazotiwa masikioni mwa mwanamke.

    bali, herini, kipuli

Matamshi

nti

/n ti/