Ufafanuzi wa nusukipenyo katika Kiswahili

nusukipenyo

nomino

  • 1

    mstari utokao katikati ya duara mpaka kwenye kizingo chake.

Matamshi

nusukipenyo

/nusukipɛɲɔ/