Ufafanuzi msingi wa nusura katika Kiswahili

: nusura1nusura2

nusura1

kielezi

  • 1

    karibu na hatari au kifo.

    ‘Kijana aliugua nusura kufa’
    chupuchupu, karibu

Asili

Kar

Matamshi

nusura

/nusura/

Ufafanuzi msingi wa nusura katika Kiswahili

: nusura1nusura2

nusura2

nominoPlural nusura

Asili

Kar

Matamshi

nusura

/nusura/