Ufafanuzi wa nya katika Kiswahili

nya

kitenzi elekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

    enda haja kubwa.

    jisaidia

  • 2

    toa kitu cha majimaji.

    ‘Mvua inakunya’

Matamshi

nya

/ɲa/