Ufafanuzi wa nyafua katika Kiswahili

nyafua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa au nyofoa nyama katika mfupa kwa kutumia vidole.

    nyokoa

Matamshi

nyafua

/…≤afuwa/