Ufafanuzi wa nyamafu katika Kiswahili

nyamafu

nominoPlural nyamafu

  • 1

    mnyama aliyekufa mwenyewe bila ya kuchinjwa.

    mzoga, kibudu

Matamshi

nyamafu

/ɲamafu/