Ufafanuzi msingi wa nyea katika Kiswahili

: nyea1nyea2

nyea1

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

 • 1

  pata mwasho, agh. unapopata upele au unapokunywa dawa.

 • 2

  nyegea

Matamshi

nyea

/ɲɛja/

Ufafanuzi msingi wa nyea katika Kiswahili

: nyea1nyea2

nyea2

kitenzi sielekezi~ka, ~lea, ~sha

 • 1

  enda na potea machoni isionekane tena kwa sababu ya umbali.

  tokomea

Matamshi

nyea

/ɲɛja/